lugha tano za mapenzi
NA SIXBERTY MANSON KUTOKA KATIKA KITABU CHANGU CHA THE SIXBERTY MANSON LOVE BIBLE
Naitwa sixberty manson ni mwandishi, muigizaji, na mmiliki wa blog na sixberty mansontv
Picha hiyo apo juu ni mimi mkono wa kushoto.
Aya twende pamoja...
Kwa ufupi
- Unaweza ukawa unafanya mambo mengi mema kwa mpenzi wako lakini anaangalia na kunyamaza akifahamu ndani yake kwamba ni wajibu wako kufanya vile.
Safi
ReplyDelete