Translate

Saturday, March 30, 2019

KAHABA BY SIXBERTY MANSON


THE FREEMASON AND THE DEVILS TRIANGLE by sixberty manson


FREEMASON AND THE DEVILS TRIANGLE

Part One.

By sixberty manson.



Umasoni ni chama cha siri kabisa cha Kiyahudi, kimeanzishwa huko enzi za Kiroma sehemu za Aurshalim (Jerusalem) wakati wa ufalme wa Herodus Aghriba baina ya mwaka 37-44 M, aliyekuwa mjukuu wa Herodus Mkuu, muuaji wa watoto wa Bethlehem kwa khofu ya kutokea Yesu, ambaye kwa mujibu wa imani zake, aliazimia kuondosha haraka iwezekanavyo utawala wote wa Herodus.

Umasoni ulitambulika kwa utata wake na mtindo wake ulio na amri madhubuti. Malengo yake ni kuhakikisha mamlaka yanabaki kwa Mayahudi duniani kote. Unahubiri upagani, utenganifu wa jamii na upotofu. Jumuiya hii inachagua wajumbe wake miongoni mwa watu maarufu kwenye nyanja ambazo zina nafasi kisiasa, kiuchumi au kijamii. Kitabu cha Simplified Encyclopedia kimeandika na kuchapisha kutoka WAMY (Baraza La Vijana Waislamu Duniani - World Assembly of Muslim Youth – Saudi Arabia) kinafafanua kwamba muasisi wa jumuiya hii ni Herdous Aghriba (44 M) mfalme wa Kiroma kwa msaada wa wasaidizi wa Kiyahudi.

Hivyo, mwanzo wake ulitokana na ujanja, hila na mageuzi. Inachagua zana za utambulisho, majina na alama ili kueneza khofu na kuwafanya watu kuamini katika habari zisizo sahihi. Rabai Laquiz amesema: “Umasoni ni ya Kiyahudi kwa mujibu wa historia yake, uongozi wake, mafundisho yake, zana zake za siri na kazi zake za ubunifu wa hali ya juu... Ni ya Kiyahudi kuanzia utosini hadi miguuni. Ilikuwa ikiitwa: ‘Uwezo wa siri wenye lengo la kuwaadhibu Wakristo, kuwauwa viongozi, kuwakata vichwa, kuwapiga pande na kuizuia dini yao kuenea.’ Sasa, imechukua jina hili (Umasoni – Freemasonry) kwa kipindi cha karne kadhaa”.

Neno “mason” lina maana ya yule mwenye kujenga nyumba. Hivyo “Free masons” lina maana ya Wamasoni walio huru. Hii ndio ilikuwa haswa alama yao wakati walipokuwa wakifanya kazi zao (za kujenga nyumba). Lakini sasa jina hilo lipo mbali na tafsiri hii. Enzi hizo ndio zilikuwa mwanzo wa umoja huu. Lakini vitu vilianzia tokea 177 M pale Adam Webshawit, Mkristo aliyeingia kwenye upagani, alipovutiwa na umoja huu ambao alidhani utamsaidia kuimiliki dunia yote.

Mara ya mwisho kutimu kazi hii ilikuwa ni mwaka 1776 M, na bodi ya mwanzo kuanzishwa ndani ya kipindi hicho (Bodi ya Torani) ilipewa jina baada ya huyo Shetani wao waliokuwa wakimwabudia. Ukweli ni kwamba, Webshawit alikuwa ni mtu wa mwanzo aliyeanzisha mipango ile ile ya Umasoni.
 
Azma ya mwanzo ya Umasoni ni kuupiga vita “Ukristo”. Baadaye, azma zao ziliendelea kupiga vita dini zote, kuirudisha tena Israel na kuitoa Palestine.



Malengo muhimu na imani zao kuu za wajumbe wa jumuiya hii ni:
1.                 Wanaitakidi kwamba imani kwa Allaah, Mitume na Vitabu kama ni upuuzi na hawaamini chochote katika ghayb.
2.                 Wanashiriki kwa hali zote kubadili serikali ili kuweka serikali ambayo inawakubali wao pamoja na mawazo yao.
3.                 Wanahubiri ukombozi wa ngono na kumuona mwanamke kama ni aina fulani ya umiliki.
4.                 Wanafanya bidii kuchana chana mataifa – isipokuwa taifa la Kiyahudi na kuanzisha migongano ya kudumu baina yao.
5.                 Wanauza na kutoa silaha kwa pande zote mbili ili kushinikiza mapigano.
6.                 Wanafanya kila jitihada ya kuendeleza ukabila na uadui.
7.                 Inaua na kuharibu kanuni za maadili kwa kutumia hongo kupitia ngono na pesa ili kuwavutia wenye kutoa maamuzi.
8.                 Wanafanya uchunguzi wa kudumu (na kuzifanyia kazi) ili kuwazuia Waislamu na kuwapunguza kupitia aina zote (birth control) na kongamano zinazoshajiisha mambo hayo kama vile: “Kongomano La Wazawa”.

Mwaka 1717 M, Umasoni ulijitokeza kwa jina jengine jipya: Jamii ya Kimasoni (Freemasonic Society) au Wamasoni (Freemasons), wakitekeleza malengo yake ya kupiga vita dini zote. Pia walichukua nembo mpya: Pembe tatu baadaye ikagaiwa (pande mbili), baadaye walianzisha kituo chao cha mwanzo cha Kimasoni nchini Uingereza, wakiwa na kauli mbiu mpya: uhuru, udugu na usawa. Baada ya hapo, walitoa maamuzi ya kuweka (wazi) maazimio yao ya kweli kama ifuatavyo:
1)    Kuuendeleza Uyahudi.
2)    Kupiga vita dini zote, haswa Ukatoliki.
3)    Kueneza ukafiri na ukombozi.
Baadaye, vituo vipya na vingi zaidi vilifunguliwa ndani ya Marekani. Waislamu wengi mno walidanganyika na kauli mbiu ya Umasoni, kisha wakaungana nayo. Lakini, walipotambua malengo yake sahihi, walinawa mikono yao na kuondokana nayo. Wengi wa walioachana na amri hiyo, walikataa kuweka wazi siri zake wakikhofia kuuawa. Utafiti mwingi uliofanywa na waandishi wa Magharibi na magazeti ya Kiyahudi pamoja na chunguzi za nyanja makhsusi, zilidhihirisha kwamba Wayahudi wamekuwa wakipanga kuuharibu ulimwengu kupitia “wito wa kutia shime ulio imara” ambao Waislamu ni lazima wauelewe. Kauli mbiu yao maarufu inasema: ‘Dini zinatusababisha kugawana wakati Umasoni inatupeleka kwenye umoja’. Imesimuliwa ndani ya Kitabu cha Masonic Encyclopedia kilichotolewa Phila mwaka 1906 M kwamba kila kituo cha Kimasoni kiwe na nembo ya kudhihirisha sinagogi la Kiyahudi, (na ukweli ni kwamba) kila mwalimu lazima awe mwakilishi wa mfalme wa Kiyahudi na kila mtu wa Umasoni amuajiri mfanyakazi wa Kiyahudi.
Ifuatayo ni nukuu kutoka gazeti la Masonic lililotolewa huko London mwaka 1935 M: ‘Shabaha yetu ni kuunganisha amri ambayo wanachama wake watatekeleza mahusiano ya kingono’. Hivyo, walianzisha maeneo (clubs) ambayo watu walitembea utupu na walifanya kila waliwezalo kuharibu thamani ya maadili.
Ili kutimiza malengo yao hapo juu, Wamasoni walianza kutumia majina tofauti kama vile Wana Wa Agano – Children Of Covenant, Kiwanis, Lioness, Yahweh Presence, Exchange, Rotary clubs na nyenginezo.
1)    Wana Wa Agano. Kundi hili la Kimasoni lilianzishwa New York mwaka 1843 M; wanachama wake walikuwa ni Wayahudi tu. Baadaye, lilipanua matawi yake duniani kote. Foster Dallas akiwa kwenye mkutano ulioitishwa na kundi lake mnamo tarehe 03/05/1966 M alisema: ‘Ustaarabu wa Kimagharibi unatokana na Imani za Kiyahudi, nchi zote za Magharibi ni lazima zitetee ngome ngumu ya Ustaarabu wao: Israel’.
2)    Kiwani. ‘Jitambue mwenyewe namna ya kuifanya sauti yako isikike’ Kundi hili lilipewa leseni ya kuanzishwa kwake mwaka 1915 M huko Detroit, USA.
3)    Lioness. Kundi hili lilijitokeza Chicago, Chicago ambayo ndio ardhi mama ya vyama vyote vya Rotary. Kwa mujibu wa makala ya al-Ahram ya tarehe 02/12/1985 M. Mkuu (wa kike) wa kuiwekea dhamana na harakati za kijamii alifungua klabu ya mwanzo ya Lioness Nambari 19 huko Misri – Cairo, ni klabu ya kisasa kuliko zote. Saini na vyeti vilikabidhiwa katika maadhimisho ya (kuvipatia usajili) Vilabu 27. Majina ya makada wa chama hichi yalitajwa ndani ya makala hiyo.
4)    Exchange. Ilianzishwa Detroit nchini USA mnamo tarehe 27/03/1916 M kutokana na nguvu za “Charles Berki” tajiri wa vito (vya dhahabu, almasi na kadhalika); aliitisha mkutano wake wa mwanzo mwaka 1917 M.
5)    Yahweh Presence. Ni msingi wa Kiyahudi katika mavazi ya Kikristo. Yahweh ni agano binafsi la jina la Mungu (Agano la Kale); lililoanzishwa huko Penn. USA mwaka 1884 M, na baadaye, kuhamia New York mwaka 1909 M. Kundi hili linawatembelea watu majumbani mwao ili kuwahamasisha kuziimarisha kanuni zao zilizoegemezwa kwenye Taurati (na zilizoingizwa uongo kwa mikono yao). Kundi hili ni la hatari zaidi miongoni mwa Jumuiya za Kiyahudi, kwa vile linadanganya wanaharakati (wapo tayari hata kuua) wa Kikristo na kupandikiza ndani ya akili zao dhana za uongo za utume kama vile Ardhi Iliyoahidiwa Promised Land.
Pia, ofisa wa Kimarekani alitoboa siri zao ndani ya kitabu chake ‘Dunia Ni Doli La Kiizraili’; kilichotafsiriwa kwa Kiarabu.
Hapa, ni vyema kutaja baadhi ya vitabu vilivyoandikwa kuhusu Umasoni. Dr. Muhammad Ali az-Zu’bi ameandika al-Masuuniya Fil ‘Aaraa (Umasoni Ndani ya Hewa Wazi) na Ahjar kwenye Riqat ash-Shataranj (Kitunda Katika Mchezo Wa Sataranji – Pawns On The Chess). Dr. Muhammad alikuwa ni mfano hai wa wasifu wa Kimasoni nchini Lebanon. Baadaye, alitubia na kurudi kwenye Uislamu. Hivyo, amri za Kimasoni ziliamuru auawe.
Zifuatazo ni Fatwa za Kishari’ah kuhusiana na Umasoni na wanachama wake zilizotolewa na Baraza la Fiqhi kwenye kikao chake cha kwanza kilichofanyika Makkah mnamo tarehe 10/08/1398 H. sawa na tarehe 15/07/1978 M.
Baada ya kusoma na kuchunguza yale yote yaliyoandikwa na kuchapishwa kuhusiana na amri hii, Baraza linatoa Fatwa kama ifuatavyo:
1)    Umasoni ni amri ya siri, yenye kanuni na mafanikio ya siri; hakuna mtu anayetambua siri zake hata kwa wajumbe wake walio wengi, isipokuwa wale wenye vyeo vya juu. Mara nyingine wanafanya kazi ndani ya jamii.
2)    Inajenga uhusiano wake miongoni mwa wajumbe wake duniani kote kwa njia za mahusiano ya kidugu ya uongo kwa lengo la kuyaweka mafanikio yake siri; inahusisha dini zote na imani zote.
3)    Inavutia watu kujumuika nao kwenye jumuiya zake kwa kutosheleza matakwa yao binafsi, kwa vile kila Mmasoni ni lazima amtumikie ndugu yake duniani, yaani kumsaidia kutimiza ndoto zake zozote zinavyokuwa na kumsaidia kutatua matatizo yake na kumtimizia mafanikio yake na malengo yake; wanafanya kazi mmoja kwa mwengine kwenye mazuri na mabaya, haki na dhulma hata kama watajitahidi wawezavyo kujionesha kwamba wanafanya hayo kwa msaada mwema. Kwa maneno mengine, amri za Kimasoni zinafanya kazi kwa matakwa ya wajumbe wake ili kupata nafasi za mbele kwenye jamii na hilo ni miongoni mwa vivutio vyao. Wajumbe wake wanasaidia michango muhimu.
4)    Kujiunga kwa amri hii kunaanzia kwa sherehe za kimila zinazoonesha matendo ya kutia khofu ili kumtisha mjumbe iwapo atakiuka mafundisho yake na amri zake na wakubwa wake.
5)    Wajumbe wengine kutokana na umuhimu/ nafasi zao wanaruhusiwa kufuata mila za dini zao, lakini wanaamriwa kufanya baadhi ya maagizo kwa mujibu wa uwezo wao na wanatayarishwa kuwa ni mapagani (asiyesadiki mungu) pamoja na kushika nafasi za juu kwa mujibu wa huduma zinazotolewa kwa mafanikio na mipango ya hatari.
6)    Umasoni una shabaha za kisiasa na kanuni yake ya msingi imo ndani ya vikundi visivyo rasmi na vyenye kutumia nguvu ya kung’oa uongozi duniani kote (coups d’etat).
7)    Kimsingi, ni amri siri ya Kiyahudi na Kizayuni.
8)    Ndani ya shabaha zake za siri, ni kupiga vita dini zote, haswa Uislamu.
9)    Umasoni unachagua wajumbe wake kutoka watu walio hodari kiakili, matajiri, wanasayansi na kwenye kila nyanja ili kutawala kimabavu jamii zote kwa manufaa ya shabaha zake na wajumbe wake.
10)           Inabadilisha majina na sifa tofauti, na inafanya kazi chini ya shughuli tofauti haswa pale penye aina yoyote ya upinzani kwa Umasoni ndani ya jamii. Baadhi ya majina yake ni: Rotary, Lioness, na amri za Lions...
Inakuja wazi kwamba Umasoni una uhusiano thabiti ambao unasaidia kutawala na kuongoza wengi walio madarakani ndani ya Palestina. Inatoa amri duniani kote na baadaye inachukua matunda kutokana na hali hiyo.
Kwa kuegemea ukweli ulioelezwa hapo nyuma kuhusu shabaha mbovu na za hatari zinazotumiwa na Umasoni, Baraza la Fiqhi linaamini kwamba amri kama hiyo ni yenye kuleta uharibifu, kwani inapigana vita dhidi ya Uislamu na Waislamu na kila mtu anayejiunga nayo ni kafiri.
























Tuesday, March 26, 2019

NAMNA YA KUMFURAHISHA MPENZI WAKO


 NAMNA YA KUMFURAHISHA MPENZI WAKO



Na SIXBERTY MANSON







Kumpenda mtu ni rahisi lakini kwa kuishi huo upendo, yaweza kuwa ngumu kidogo. Ian Isherwood anasema kuwa kurudiarudia huu mshororo wenye maneno matatu tu, "I Love You" Mara kwa mara haitoshi kuweka mapenzi ya uhusiano wenu kunoga zaidi milele. Kuna Sentensi sita muhimu sana ukimwambia mpenzio mara kwa mara napenzi yenu yafikia upeo.

Kila mtu ana njia yake ya kumwonyesha mpenzi wake kuwa anampenda na kumjali. Haijalishi ni maneno yepi hutumia. La maana ni kwamba uhusiano wake na mpenziwe unadumu kwa raha tele.

Ukitumia maneno mazuri kwa mpenzi wako unampa furaha na kumwonyesha kuwa yeye ndiye mtu wa kipekee kwako duniani. Kama unaye mpenzi, anza kutumia , maneno haya sita na uhusiano wako utakuwa wenye raha; 

1. Nimebahatika kuwa nawe 

Kumwelezea mpenzio vile unajisikia kubahatika kuwa naye katika maisha yako ina uzito zaidi kuliko " Love You".

Wakati unampenda mtu sana unajiona duni kwamba hata kuona amekufanyia fadhila ({Favour) kuwa nawe. Yaani ni kama huna cha kumrudishia kama shukrani kwa upendo wake kwako. Ukisema haya wamfanya kujiskia amependwa na kwamba unafurahia anayokufanyia. 


2. Pole/ Samahani 

Kusema Pole baada ya kukoseana au majibizano madogo huongeza mapenzi katika ndoa yenu. Kusema "pole" haitamaanishe eti wewe ni hafifu sana kumliko mwenzio. Kila ndoa huwa na majibizano, wivu na kutoelewana. Lakini baada ya hayo yote, sema "pole" na kwa ukweli yatapoa! 

3. Nimekusamehe 

Ni vigumu kwa mtu kuomba msamaha lakini ni vigumu zaidi kusamehe mtu. Msamaha ni jambo muhimu sana katika uhusiano. 

Ni ngumu sana kuifanya mara kwa mara lakini ndiyo huongoza na kupeana mwelekeo wa ndoa. Haina haja kushikilia mabaya ili kuharibu ndoa yako. Msamehe tu!

 4. Nipo hapa kwa ajili yako 


Ukimpenda mtu, mkubali kwa jiinsi alivyo kwa uzuri au ubaya. Hakuna aliyekamilika. Wakati mwenzako anapitia magumu, hakuna maneno yanayompa nguvu kuliko " Nipo hapa kwa ajili yako" kutoka kwa ampendaye. Maneno haya humhakikishia mwenzio kuwa una yeye katika hali zote za kimaisha. 

5. Nakuamini 

Bila kuaminiana ndoa haiwezi dumu. Ndoa hupata majaribu hata ikiwa ya miaka hamsini! Lakini la muhimu sana ili kudumisha mapenzi katika ndoa ni uaminifu. Habari Nyingine: Inashangaza: Mume amuuza mkewe kwa mtalii! Ukimwambia mwenzako unamuamini, basi umeondoa hisia za mbaya kumhusu kama wivu ambao ni hatari sana kwa ndoa. 

6. Nijitolea kwako kikamilifu 


Kujitolea kwa hakika kwa mpenzio huonyesha kuwa ulimchagua yeye pekee, kawa mwaminifu na kampeda kwa dhati. Kila mtu hutaka kuhakikishiwa kuwa ni yeye tu katika uhusiano. Usione ni kawaida kuwa na mpenzio. 



NB
Some people use these words with malicious intent. If you persuade a participant to either benefit yourself financially. Don't be deceived! see also their actions if they are in line with their words. 



















The great romantic words to the woman


The great romantic words to the woman
                                By 
                    Sixberty manson 




In a romantic relationship there are two very important words that carry a heavy romantic message for a dearly loved partner, that is, 'I love you' and 'I will marry you'.
These two words to those who know their value are not easy to pronounce at any one who has no plan to love or marry him.
To pronounce these words with the need to seduce a partner or partner in a romantic relationship is a hoax and is a great sin.
Surprisingly, we have often witnessed or seen many lovers narrating or describing how he could be hurt and disappointed by someone who thought he could really love her from his heart and marry her.
You will see him telling how he could first meet with the same person either through his contact with him, through social networks or through telecommunications.
That was the reason why she was confused, confused, giving her and getting into the trap with the sweet words she had heard in her ears. Poor! it is a falsehood, on his side he is asking himself if he is really loved.
Of course the one who wants his answer is very simple, I love you. There are also those who introduce the word without even being asked.
It is all in an attempt to draw the heart of the one who wishes to love her so that she can trust her to be loved but also to be sure of the possibility of getting married.
It is in such a situation, many have been deceived and abandoned. But if they would know that, the question of love, marriage or marriage has a special value in the lives of sincere people would not say those words to the unloved.
Thus, for the one who knows the meaning and importance of those words is not easy to agree with such a partner.
But also for a seductive and unwilling person to say these words, you will see if they are looking for a way or another way to catch the trap.
The kind of words he will use if he is not careful in knowing the truth or his lies, can take you psychologically and also lead you to really believe those words.
For example, a partner can tell you that, "don't worry about it, it's best to first know each other, so you can decide if you really like it or not.
“Then about me and you marry it is a step-by-step result. For another thing it is not something to break. I don't want you to see if I deceive you, I want you to believe that I am honest and even when I say you love you to see the truth come from my heart "
Such a kind of talk is to lose a partner or a caterpillar with a view to having sex.
When the partner is desperate to believe these words quickly without taking the time to evaluate and work these words, it is easy to get a headache to be lost to the heart and later hurt his heart.
Also remember that, when he is slandered by such words, by means of contact with him, through social networks or by phone that, 'I love you' and also need to add a commitment to marry him when he knows with him, it is betraying a partner, boyfriend, wife or husband.
In addition, the use of the words 'I love you and I will marry you' regardless of the value of those words is to hurt the partner or the heart.
It also causes him to become a psychologist, to find a way of suicide simply because he fails to believe what happened after hearing that the words you have spoken are in need of romantic love.
In other words, the use of these words can cause you to miss the value of love between you and the one you really love.
Sometimes the use of these words can lead to the one who has the intention to seduce her, either with good intentions to find you romanticly after you have been hostile to you or to hurt you with an evil intention to hurt you with your heart.
Sometimes before saying these words, it is good for a partner to ask himself twice about what he wants to do to the one who has a purpose of deceiving him.
Ask yourself, is it right to tell someone else than you have chosen in your heart, to love him deeply and perhaps even embrace him and marry him that you love him and will marry someone else different from him?
If you are a lover and have a boyfriend, husband or wife try to change your behavior by keeping the dignity of your spouse's love, if he has respect and care for your love, be in the fear of God within you.
But also be honest with the words you speak. Do nothing or say sweet words for the need to please him or her to find someone you want in romance.
Do not use the words I love for you, and do not promise that you will marry her, it is not desirable.

Wednesday, March 20, 2019

MAHABA YA MWALIMU WRITTEN BY SIXBERTY MANSON STORY YA KUSISIMUA YA MAPENZI


MAHABA

YA

MWALIMU




Written by Sixberty Manson

Nilitamani muda wa vipindi darasani umalizike ili iweze kutimiza ahadi niliyokuwa naisubiri kwa siku nyingi. Mwalimu alikuwa akifundisha lakini ni kama nilikuwa sielewi wala sisikii alichokuwa anaelezea. Mawazo yangu yote yalikuwa kwa Madam Jesca.



Nilitamani muda wa vipindi darasani umalizike ili iweze kutimiza ahadi niliyokuwa naisubiri kwa siku nyingi. Mwalimu alikuwa akifundisha lakini ni kama nilikuwa sielewi wala sisikii alichokuwa anaelezea. Mawazo yangu yote yalikuwa kwa Madam Jesca. Siku hiyo nilijisemea kuwa iwe isiwe lazima nimweleze ukweli na ikibidi siku hiyo hiyo yatimie ninayoyawaza kila kukicha. Madam Jesca alikuwa ni mwalimu aliyekuwa akitufundisha kwa muda tu baada ya kuwa amemaliza kidato cha sita.

Wakati huo sisi tulikuwa kidato cha nne. Somo alilokuwa akitufundisha ni Kiswahili. Hatimaye mwalimu akatoka na baada ya nusu saa nikaondoka kuelekea nyumbani kwa madam Jesca. Niliingia baada ya kuwa nimegonga hodi. “We Joshua mbona muda wa vipindi hivi we umekuja huku...” aliniuliza huku macho yake yakionyesha mshangao wa waziwazi. Kanga yake aliyovaa ilikuwa imelowana na hivyo kusababisha niuone mstari wa chupi. Na kama hiyo haitoshi madam Jesca alikuwa ana kitu kingine cha ziada. Awali nilidhani nimekifananisha lakini alipotembea nikahisi ni chenyewe. 

Aidha alikuwa amevaa cheni ama la alikuwa ana shanga kadhaa kiunoni. “Mwalimu nimekuja unifundishe aina za NOMINO” “Joshua ni lini sasa utaacha vituko, aina za Nomino nyumbani kwangu eeh!!” alinikaripia lakini sikurudi nyuma niliamua kuwa iwe siku hiyo. Siku ya maamuzi yangu!! “Madam, kwa hiyo unataka nifeli ama….” Nilimuuliza kwa uchungu. Nikauona uso wake ukipunguza makali ya hasira. “Hebu ni kitu gani huelewi sasa hapa kwenye Nomino…...” aliniuliza. Nikatikisa kichwa na kuingiza mtego wangu. Madam mwenyewe hakuwa mkubwa ni basi tu ye alikuwa amenitangulia kieleimu na sasa ni mwalimu wangu. 

“Madamu…nitafundishwa nikiwa nimesimama hivi kweli..” nilihoji huku nikitoa tabasamu hafifu sana. Madam akatembea na kuingia ndani huku akinionyesha ishara ya kumfuata. Nikafanya kama alivyoniambia, nikiwa nyuma yake nikauona utamu halisi wa Madam ambao huwa unajificha katika mavazi yake ya kiualimu. Alikuwa amegawanyika vizuri, kiuno kilijitenga kivyake na makalio yake yalikuwa katika mlingano sahihi hivyo hata kutikisika yalitikisika katika namna ya kuvutia. Upesi nikaingiza mkono katika suruali yangu ya shule nikaishusha injini iliyoanza kunyanyuka juu nikaibana vyema katika mkanda ili isije kuniaibisha mbeleni. 

Ubaya na uzuri wa chumba cha Madam Jesca ni kwamba kilikuwa kimoja tu, hivyo hakupata fursa ya kubadili nguo aliketi kitandani na kuniruhusu mimi nikae katika kiti. “Iwe mara ya kwanza na ya mwisho kuingia katika nyumba hii. Shida zote tunamalizia shuleni sawa???” alijaribu kunikoromea. Na hapo nikauona utamu mwingine. Jesca alikuwa na mwanya!! Mama weee!! Nilikuwa wapi siku zote bila kuuona huu mwanya. “Nimekuelewa mwalimu!” nilijibu kwa nidhamu.

“Haya ni wapi hukuelewa…’ “Madam usiseme tu sikuelewa yaani siku hiyo sikuwa darasani kabisa…” “Sasa utoro wako nd’o uje kunisumbua mimi ebo!!!” aling’aka. “Sio utoro madam…. nilikumbwa na majanga sana….” “Yapi uongo tu!!!” alizidi kuwaka…. katika namna ya kunisuta… Na hapo ndipo nilipopataka zaidi. “Madam nilipata misiba mfululizo we acha tu, kwanza mdogo wangu, sijakaa sawa kuna rafiki yangu wa tangu utoto naye akagongwa gari…mama ameugua muda mrefu pia madam, yaani aargh!! Mwaka huu ni wangu madam mi nitafeli tu na sijui nitakuwa mgeni wa nani, hesabu nimekosa topiki mbili, Chemistry nd’o sijagusa praktiko hata moja….” na hapo nikasita kisha nikaanza kulia, nililia kiume machozi bila kelele. Madam akajiingiza mkenge, akanishika na kuanza kunibembeleza. Huu si ndio utamu niliokuwa nautaka sasa…. Alinibembeleza mwisho nami nikajilaza kifuani mwake.

Wacha wee!! Madam alikuwa na embe dodo kifuani ambazo zilikuwa na joto fulani linalokulazimisha kuendelea kuzilalia hata kama hutaki kulala. Mikono yangu ikazunguka katika kiuno cha madam na kukutana na ile cheni, nikaifyokonoa na kuizamisha katika kiuno chake. Nikazisikia pumzi zake zikipishana kwa kasi, nikajua nimegusa penyewe. “Usijali joshu aaaaah!! Usijali utafaulu sawa eeeh!! Usijali jo….ooooooH!!! aaaaaaH!!!” he!! Madame alikuwa anazungumza ama analalamika.

Nikatambua kuwa mambo tayari, nikamsukuma ghafla akatua kitandani kwake. Macho yake 
yalijaribu kunitazama lakini yalionyesha kusinzia kwa huba!! Kanga ilikuwa imekaa hovyo tu, paja laini likinidhihaki na kichupi cheupe nacho kikinichungulia na kuniambia karibu!!! Sikutaka kuwa na papara, nikamrukia na kukutanisha ndimi zetu, akazipokea. Ebwa ee!! Joto likaongezeka na suruali ikazidio kunibana…. Ni kama alijua vile kuwa jogoo anataka joto, nikaisikia mikono yake ikitafuta mkanda wangu huku ndimi zikiendelea kushambuliana kwa kasi. Akaupta mkanda, akaufungua nami nikajipandisha juu kidogo ili aweze kuitoa suruali vyema.

Akaishusha kidogo kwa mikono kisha akaisindikiza kwa miguu. Mara mapaja yakagusana….doh!! nikajihisi nipo ulaya na wazungu wanataka kutoka katika jogoo wangu. Aibu gani hii wazungu kutoka katika nchi kabla ya uhuru!!! Nikajibana huku na kule huku nikijaribu kukwepesha hisia zangu nisije kuaibika. Ghafla mkono wa Jesca ukaikamata ikulu vyema, mikono laini kabisa ikaanza kupanda juu na kushuka chini kwa sababu maalumu kabisa.

Lakini kama nilidhani kuwa ile mikono ndo laini kupita kila kitu nilikuwa nimekosea. Ni kama tulikuwa tunacheza kuwahiana, mimi nilikuwa nimemnyonya masikio, mara akanirukia na kujikunja huku akihema, akaimeza ikulu nzimanziama mama weee!! Nikajikuta napiga kelele kwa mshtuko.

Jesca akanishambulia kwa kasi sana hadi nikakiri kuwa nisipokuwa makini wazungu watatoka kabla sijapewa uhuru. Nikambandua kutoka pale kisha ikawa zamu yangu kutazama chumvi ya uvinza ina kiwango ama imeharibika tayari. Nikazamisha ulimi na kuanza kufanya upelelezi. Nilipopiga kelele nilidhani nimejiaibisha lakini madam alikuwa zaidi. Sijui kilikuwa kichaga kile. Neno kuu alilorudia mara kwa mara ni ‘yerewiiii na jingine mbombo ngafu…’ kama sikosei ni hayo. Nadhani mchaga yule. Chumvi yake ilikuwa ina ubora, madam alikuwa msafi kupindukia. 

Hakuwa akitoa harufu kabisa!! Maana akina Mwajuma wa mtaani kwetu almanusura nitapike nilipozama siku ile!! Huyu alikuwa smart haswa!! Kama ni utamu ndipo huu. Masikioni utamu, mdomoni utamu, hadi huku kwenye chumvi napo utamu. Ulikuwa utamu mtupu!!! Madam kuona mashambulizi yamezidi na yeye akajaribu kupambana…safari hii kidogo aniue huyu dada. Ebwana!! 

Umewahi kupulizwa korodani wewe!! Zipulizwe halafu zimezwe kitaalamu……. Unaweza kuzirai!!! Na usiombe upate mtaalamu wa kuzipuliza na kunyonya unaweza kujifia kitandani ukapatia watu kesi zisizowahusu. Madam akaninyonya, sijui na mimi nilizungumza kipare?? Sikumbuki kwa kweli….. Baada ya hapo hapakuwa na jingine ulikuwa wakati wa kuwarudisha wazungu ulaya ili nibaki huru!! Kibaba na mama!!! Staili ya kuwarudisha wazungu wa kwanza wenye kiherehere!!! Nikajikunja na kuushika mguu wake nikaunyanyua juu..nikaingia golini.

Haya nafungaje sasa….. Huyu nakuna kushoto sana ambapo wasichana wengi wamezoea kwa sababu mashine nyingi za wanaume huwa zimeegemea kushoto…..nikishamkuna kushoto alipozoea nahamia kulia ambapo najua hajawahi kukunwa vizuri. Kweli nikaanzia kushoto, nikakwangua kama mara ishirini, nilipohamia kulia. Madame akapiga kelele za utamu kwa nguvu. Nikatamani kumziba mdomo lakini nikajua huo ni utamu umempagawisha!!! Na mimi lazima niwatoe wazungu ndo nitajua hayo mengine. Nikamkunja zaidi huku nikizidi kukuna kulia……..nikawakontrol wazungu wasitoke ili aendelee kufaidi. “Baby iam coming…..iam coming baby…..” nikamsikia akilalamika kimombo, haya huwa nayasoma gazetini huko nikajua kuwa amekaribia mshindo.

“Jamani ankoo!!” nikamsikia akizidi kulalamika Nikazidi kupampu kwa juhudi ili asinisahau tena maishani mwake. Ile wazungu wanataka kuja na yeye akajipandisha juu zaidi. Akanisukuma kwa nguvu. He!! Mara nikajikuta hewani, nikataka kurudi chini ikawa ngumu. Mara macho yakafumbuka, nilikuwa nimeanguka na kiti changu darasani, wanafunzi walikuwa wanapiga kelele. Wengine wakinizomea, wengine wakinisikitikia,,,,,, ile kujitazama suruali yangu ilikuwa imevimba haswa na wasichana walikuwa wakinitazama. “Joshua yaani unaota mchana kweupe hivi mdogo wangu?? Tena unakoroma kama kondoo looh!!” lilikuwa swali kutoka kwa madam Jesca. Ebwana eeeh!! Ilikuwa aibu, kichwa kikaanza kuuma nikatambua kuwa nilijibamiza vibaya nilipoanguka. 

Na mwalimu niliyemuota nd’o kilikuwa kipindi chake sasa!! KISWAHILI Looh!! Yaani utamu wote ule kumbe nilikuwa naota Joshua mimi aaargh!!! Japokuwa ilikuwa ndoto lakini ule ulikuwa UTAMU MTUPU…. 

Sema ilikuwa noma sana maana nilitaniwa sana hadi shule nzima ikajua kuwa niliota nafanya mapenzi nikashtuka nishajimwagia tayari!!! ****************************** 

MWISHO!



Drop your comments down 

Saturday, March 2, 2019

Kwa Nini Upendo Hupungua?

Kwa Nini Upendo Hupungua?
“Inaonekana kuwa rahisi sana kumpenda mtu kuliko kudumisha upendo huo.”—  SIXBERTY MANSON 
ONGEZEKO kubwa la ndoa zisizo na upendo yamkini si jambo la kushangaza. Ndoa ni uhusiano tata wa kibinadamu, na wengi huingia katika uhusiano huo bila kujiandaa vya kutosha. “Inatubidi kuwa na uzoefu kiasi fulani kabla ya kupokea leseni ya kuendesha gari,” asema Dakt. Dean S. Edell, “lakini cheti cha ndoa chahitaji tu sahihi.”
Kwa sababu hiyo, ingawa ndoa nyingi hunawiri na kuwa na furaha tele, ndoa kadhaa hunyong’onyea katika matatizo. Huenda mwenzi mmoja au wote wawili waliingia katika ndoa wakiwa na matumaini makubwa lakini hawana ujuzi unaohitajika ili kudumisha ndoa. “Watu wanapopendana mara ya kwanza,” aeleza Dakt. Harry Reis, “kila mmoja huwa na uhakika mno na mwenziwe.” Wao huhisi kana kwamba mwenzi wao ndiye “mtu pekee duniani mwenye maoni sawa na yao. Nyakati nyingine hisia hiyo hufifia na inapokuwa hivyo, ndoa huathiriwa sana.”
Jambo la kupendeza ni kwamba ndoa nyingi hazifikii hatua hiyo. Lakini acheni tuchanganue kwa ufupi sababu kadhaa zinazosababisha upendo kufifia katika baadhi ya ndoa.
Kutamaushwa—“Sikutarajia Hali Hii”
“Nilipoolewa na Jim,” asema Rose, “nilitarajia tungekuwa na mapenzi kama ya malkia na mfalme mwenye kuvutia katika hadithi moja—mahaba kemkemu, wororo tele na kutendeana kwa fadhili.” Lakini, baada ya kitambo kidogo, “mfalme” wa Rose akawa havutii tena. “Hatimaye alinitamausha sana,” yeye asema.
Sinema, vitabu, na nyimbo zinazopendwa na wengi hutoa maoni yasiyo halisi kuhusu upendo. Wanapokuwa wakichumbiana, huenda mwanamume na mwanamke wakahisi kwamba mataraja yao yametimia; lakini baada ya miaka fulani katika maisha ya ndoa, wanakata kauli kwamba hiyo ilikuwa ni ndoto tu! Maisha ya ndoa yasiposhabihi yale yanayosimuliwa katika riwaya za mahaba, wengi huona ndoa yao haiwezi kufaulu kabisa.
Pasipo shaka, matazamio fulani katika ndoa yanafaa kabisa. Kwa mfano, inafaa kutazamia upendo, ufikirio na utegemezo kutoka kwa mwenzi wa ndoa. Na bado, huenda hata matazamio hayo yasitimizwe. “Nahisi kana kwamba sijaolewa,” asema Meena, msichana mchanga aliyeolewa karibuni huko India. “Najihisi nikiwa mpweke na hakuna anayenijali.”
Kutopatana—“Hatupatani kwa Vyovyote”
“Hatupatani kwa vyovyote na mume wangu,” asema mwanamke mmoja. “Najuta kila siku kwamba niliolewa naye. Hatufaani kabisa.”
Kwa kawaida haichukui muda mrefu kwa wenzi wa ndoa kung’amua kwamba hawafaani kama walivyodhani wakati wa uchumba. “Maisha ya ndoa hufunua tabia zilizofichika wenzi hao walipokuwa waseja,” aandika Dakt. Nina S. Fields.
Kwa sababu hiyo, baada ya kufunga ndoa wenzi fulani wanaweza kukata kauli kwamba hawapatani kabisa. “Licha ya upatano fulani katika mapendezi na utu, watu wengi huingia katika maisha ya ndoa wakiwa na tofauti kubwa sana katika mtindo, tabia, na mielekeo,” asema Dakt. Aaron T. Beck. Wenzi wengi wa ndoa hawajui namna ya kutatua tofauti hizo.
Ugomvi—“Sisi Hugombana Daima”
“Tulishangazwa na ugomvi wetu wa kila mara—kurushiana maneno, na jambo baya zaidi, kunyamaziana kwa siku nyingi,” asema Cindy, akikumbuka siku za mapema za ndoa yao.
Kutokuelewana ni jambo la kawaida katika ndoa. Lakini hali hiyo ishughulikiweje? “Katika maisha mazuri ya ndoa,” aandika Dakt. Daniel Goleman, “mume na mke wako huru kulalamika. Lakini mara nyingi kwa sababu ya hasira, malalamiko hutolewa kwa njia yenye kuumiza na yenye kushambulia tabia ya yule mwenzi mwingine.”
Hali hiyo inapotukia, mazungumzo hugeuka kuwa mashindano, kila mmoja akishikilia maoni yake kwa ushupavu na hivyo hushambuliana kwa maneno badala ya kuwasiliana. Kikundi kimoja cha wataalamu chasema hivi: “Mojawapo ya matokeo mabaya zaidi ya ubishi usiodhibitiwa ni kwamba wenzi husema mambo yanayotisha usalama wa ndoa yao wenyewe.”
Ubaridi— “Tumeshindwa”
“Nimeshindwa kufanya ndoa yetu ifaulu,” akakiri mwanamke mmoja baada ya miaka mitano katika maisha ya ndoa. “Najua kwamba haitafaulu. Sasa nahangaikia watoto tu.”
Imesemwa kwamba kinyume kabisa cha upendo si chuki bali ni ubaridi. Kwa hakika, ubaridi waweza kuharibu kabisa ndoa sawa na uhasama.
Lakini jambo la kusikitisha ni kwamba, wenzi wengi wa ndoa wamevumilia ndoa isiyo na upendo kwa muda mrefu hivi kwamba hawana tumaini kabisa kwamba hali itabadilika. Kwa mfano, mume mmoja alisema kwamba maisha yake ya ndoa ya miaka 23 yalingana na “kufanya kazi isiyopendeza.” Aliongezea kusema: “Wajitahidi kufanya yale uwezayo katika hali hiyo.” Vivyo hivyo, mke aitwaye Wendy amekata tamaa kuhusu mume wake ambaye ameishi naye kwa miaka saba. “Nilijitahidi mara nyingi,” yeye asema, “lakini sikuzote alinitamausha. Niliishia kushuka-moyo. Sitaki kupatwa na hali hiyo tena. Nikimtumaini tena, nitajiletea tu uchungu. Afadhali nisitumainie chochote—sitakuwa na furaha lakini angalau sitashuka moyo.”
Kutamaushwa, kutopatana, ugomvi na ubaridi ni baadhi tu ya sababu zinazoweza kuchangia ukosefu wa upendo katika ndoa. Bila shaka, kuna sababu nyinginezo—sababu chache zinazungumziwa katika sanduku lililo kwenye ukurasa wa 5. Hata sababu iwe gani, je, kuna tumaini kwa wenzi ambao waonekana kuwa wamenaswa katika ndoa isiyo na upendo?

Why Does Love Not Die? With sixberty manson

Why Does Love Not Die?
"It seems so easy to love a person than to maintain that love." -
NA SIXBERTY MANSON 
THE great prospect of unloving marriage is not surprising. Marriage is a complex human relationship, and many enter the relationship without preparing enough. "We have to have some experience before we get a driving license," says Dakt. Dean S. Edell, "but the marriage certificate just needs to be correct."
As a result, while many marriages are burdensome and overjoyed, some marriages end up in problems. One or both of them may have entered marriage with optimistic expectations but do not have the necessary skills to maintain a marriage. "When people love one another," explains Dakt. Harry Reis, "each one is very sure of his mate." They feel that their partner is "the only person in the world who has the same view of them. At times the feeling is fatal and, when it is, the marriage is severely affected. "
Happily, many marriages do not reach the point. But let us briefly consider some factors that cause love to die in some marriages.
Disappointment- "I Do Not Expect This Situation"
"When I got married to Jim," says Rose, "I expected we would have such a passion for a queen and a fascinating king in a single story-a triumph, a bitterness and a friendly act." But, after a while, Rose's "king" again. "At last he was very angry," he says.
Movies, books, and popular popular songs offer untruths about love. When they are dating, a man and a woman may feel that their bridges have come to an end; but after some years in marriage, they say that it was just a dream! Marital life does not endorse what is described in the novels, many view their marriage as impossible.
Without a doubt, certain marriages in marriage are all right. For example, it is worth looking for the love, consideration and support of a marriage mate. And yet, it may even be that prospect. "I feel as if I were not married," says Meena, the youngest married girl in India. "I feel lonely and nobody cares about me."
Disagreements- "We Are Not Alone to Anything"
"We do not have anything to do with my husband," says one woman. "I regret every day that I married her. We do not really fit it. "
It usually does not take long for a couple to conclude that they are not as good as they thought during dating. "Marital life reveals the hidden behavior of the couple while they were outdoors," writes Dakt. Nina S. Fields.
As a result, after getting married, some couples may conclude that they do not really fit. "In spite of some romantic and romantic relationships, many people enter into marital life with very different characteristics in behavior, behavior, and orientation," says Dakt. Aaron T. Beck. Most couples do not know how to solve those differences.
Violence- "We Are Always Arguing"
"We were amazed at our constant arguing-and the worst thing-to talk about," says Cindy, recalling the early days of their marriage.
Misunderstandings are common in marriage. But how is the situation addressed? "In a good marriage," writes Dakt. Daniel Goleman, "your husband and wife are free to complain. But often because of anger, the complaint is provided in a way that hurts and attacks the behavior of the other partner. "
When that happens, the conversation turns out to be a competition, each one holding firmly to his or her views and thus arguing in words instead of communicating. One group of experts says: "One of the worst consequences of uncontrolled controversy is that partners say things that threaten their own marital security."
Undead- "We Were Failure"
"I have failed to make our marriage succeed," he acknowledged a woman after five years of marriage. "I know it will not succeed. Now I'm just concerned about the kids. "
It has been said that the opposite of love is not hate but it's humor. Of course, greed can completely destroy marriages as well as hostility.
Sadly, though, many marriages have endured such a loveless marriage that they have no hope that the situation will change. For example, one husband said that his 23-year-old marriage was like "doing unpleasant work." He adds: "Do your best to do what you can." Similarly, a wife named Wendy has become discouraged about her husband who has lived with her. seven years. "I worked hard often," she says, "but she always shook me. I was depressed. I do not want to face the situation again. Once again I hope, I will only bring pain. Well, I do not trust anything-I'm not happy but at least I will not give up. "
Disappointment, disagreement, controversy, and despair are just some of the factors that contribute to lack of love in marriage. Of course, there are other reasons-a few reasons are discussed in the box on page 5. Regardless of the reason, though, is there hope for those who seem to be trapped in a loveless marriage?

Usisahau kusoma kitabu changu cha The sixberty manson love bible 

SIXBERTY MANSON POSTS

Mona Lisa

  MONALISA                              LA GIOCONDA                          By Sixberty Manson  A picture by Sixberty Manson  MEET THE REAL...

ZILIZOTAZAMWA ZAIDI