Translate

Sunday, February 3, 2019

TETEMA RAYVANNY FT DIAMOND PLATNUMZ RYLICS


TETEMA LYRICS

RAYVANNY FT DIAMOND PLUTNUMZ


Aya twende tetema (ooh mama tetema) 
Tipo tipo tetema (ooh mama tetema) 
Aya twende tetema (ooh mama tetema) 
Shuka chini tetema (ooh mama tetema


Its s2kizzy beiby 
Tetema yaani kama umepigwa shoti 
Tetema nipe migandisho ya roboti 
Tetema ukutani hadi kwenye kochi 
Tetema kwenye giza mama shika pochi 

Katoto kamenoga (ooh mama)
 Nakapandiza za bukoba (ooh mama) 
Nakapadisha bodaboda (ooh mama)
 Kakichoka kuchuma mboga(ooh mama


Aaai mama shigidi aah 
Nakufa wooi wikidi aai
 Aaai mama shigidi konki 
Fire, motoo, liquidi
Aya twende tetema (ooh mama tetema) 
Tipo tipo tetema (ooh mama tetema) 
Aya twende tetema (ooh mama tetema) 
Shuka chini tetema (ooh mama tetema)

Aya twende tetema (ooh mama tetema)  
Tipo tipo tetema (ooh mama tetema) 
Aya twende tetema (ooh mama tetema)
 Shuka chini tetema (ooh mama tetema)


 Tetema!
Yaani kama vile generator (tetema) 
Kama mwizi kakupiga ngeta (tetema) 
Mwendo wa kutunga kupepeta (tetema) 
Chini nikipuliza tarumbeta

Asa wooza! Wooza! 
Cheza shogoloza Kufa chali kama mende 
Maria Roza poza tungi limepoza Twende nikupige nyembe(brrr...Okey)
You make my mind go kololo(kolooo...kolo) 
Ukinuna tu mie toro(torooo...toro)
 Washa! Saa nipe za digidigi Washa! 
Miuno ya kiki kiki Washa! 
Funga kibindo mkwichi kwichi Washa!
 Nikunyonge ka zigizigi

Teeete! (ooh mama tetema) 
Tipo tipo tetema (ooh mama tetema) 
Aya twende tetema (ooh mama tetema) 
Shuka chini tetema (ooh mama tetema)
 Aya twende tetema (ooh mama tetema)
 Tipo tipo tetema (ooh mama tetema) 
Aya twende tetema (ooh mama tetema) 
Shuka chini tetema (ooh mama tetema)
Ayo Lizzer, 
Chii Kichaa kime-kime-kimempata 
Ame we who kime-kimempata 
Kapandisha mizuka kime-kimempata 
Ana ruka ruka kime-kimempata 
Kichaa kime-kime-kimempata 
Kapanda juu ya meza kime-kimempata
 Eti anavua shati kime-kimempata 
Na leo anatesa kime-kimempata 
Yaani varangata

 Waasafii...









No comments:

Post a Comment

SIXBERTY MANSON POSTS

Mona Lisa

  MONALISA                              LA GIOCONDA                          By Sixberty Manson  A picture by Sixberty Manson  MEET THE REAL...

ZILIZOTAZAMWA ZAIDI